
π
ππππππππ ππππππππππ πππππππ, ππππππππ
February 17, 2025 at 02:49 PM
π’Tuna Huduma Mpya za Malipo!
Wapendwa wateja wetu, kama sehemu ya kujitolea kwetu kuboresha na kuendelea kutoa huduma bora, tumeboresha namba zetu za Malipo kwa Femclinic Healthcare service, Tanzania
Airtel lipa No
13139902 Jina Femclinic Healthcare
M-pesa lipa No
37470064 Jina Femclinic Healthcare service
Endelea kuwasiliana nasi kwa huduma bora za afya!