
๐
๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐๐
February 17, 2025 at 08:02 PM
Habari Njema kwa wanafamilia wa Femclinic Healthcare service, Tunaomba kuwakumbusha kuwa kila siku ya Jumanne Daktari Mshauri wa Magonjwa ya Upasuaji Anakuwepo kutoa Huduma ya ushauri kwa wote wenye uhitaji kwa changamoto za Magonjwa ya Upasuaji, kuanzia saa Nne Asubuhi Mpaka Saa Kumi Jioni. Nyote Mnakaribishwa
Unaweza kufanya booking online kwa kugusa link hapo Chini ili kujisajili katika orodha ya watakao Pata Huduma hii.
> Jisajili Hapa https://t.co/xYNd016N2H
> Kwa msaada zaidi piga no: 0747290559