
π
ππππππππ ππππππππππ πππππππ, ππππππππ
February 17, 2025 at 08:08 PM
Ukiwa na Dalili za Ugonjwa wa Appendix (Acute Appendicitis) karibu Femclinic Healthcare service uwasiliane na Daktari Mshauri(Consultant) wa Magonjwa ya Upasuaji. Tarehe 18 January 2025 kuanzia saa 4 Asubuhi Mpaka Saa 10 Jioni
> Huduma Hii itatolewa Bure.
> Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi kupitia 0747 290 559.