
๐
๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐๐
February 18, 2025 at 04:00 AM
Habarini za Asubuhi ,siku ya leo Kuanzia Saa 4 Asubuhi Mpaka Saa 10 Jioni tunapatikanaย kwaajili ya Huduma ya Onlineย consultation Juu ya ugonjwa wa Appendix(Acute Appendicitis). Na kuanzia sasa unaweza kuweka Miadi na Daktari kupitia Kiunganishi Hiki
https://t.co/xYNd016N2H
> Kwa kesi zote zinazosubiri ufuatiliaji tafadhali usisite kupiga simu.
+255747-290-559
+255688-971-032