๐๐๐ ๐๐๐๐ก๐๐ ๐๐๐๐๐ง๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐๐ฅ๐ฉ๐๐๐, ๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐
February 26, 2025 at 05:49 AM
> Tambua kuwa Afya ni Mtaji
Na Mazoezi ni Kinga na Tiba
Jenga Mazoea ya kufanya Mazoezi Angalau Nusu saa kwa Siku , Mara 4 kwa wiki.
> Mfano wa Mazoezi
Kutembea
Kuruka kamba
Kukimbia Mita kadhaa
Pushup
#anza safari yako sasa
> Doctor Fedrick, Femclinic Healthcare