Kigoma Region Tanzania
Kigoma Region Tanzania
February 16, 2025 at 08:40 PM
*MALENGO YETU KIGOMA COMMUNITY NA KIGOMA REGION TANZA* Hii ndio kazi inayotakiwa kuanza kuifanya *Jamii ya watu wakigoma* Mungu afanye wepesi tuzifikie Jamii Zetu na kuzisaidia. Nia tunayo,Ari Tunayo tunahitaji support kutoka kwa Jamii yetu. Watu wetu Wakigoma bado wanahitaji kushikwa mkono na kutatuliwa shida zao. *#jukumu letu*
👍 1

Comments