
Kigoma Region Tanzania
February 18, 2025 at 04:35 PM
*HII NI KWA MATUMIZI YA MTU YEYOTE ANAETOKA KIGOMA*
Kumbuka anuani hii unaweza kuitumia na wewe katika shughuli zako za kiofisi na mambo yako mengine binafsi yaliyo halali, usisumbuke anuani ya kutumia, ikiwa tu hauna anuani mkoani Kigoma basi tumia anuani ya Jumuiya. Muhimu kutoa taarifa.
JUMUIYA YA WATU WA KIGOMA
S.L.P 734
KIGOMA, TANZANIA.
Wilaya ya Kigoma, Kata ya Kigoma Mjini, Mtaa wa Shede, Barabara ya Bangwe na Stanley, Nyumba Na: 02
Barua pepe:
[email protected]
Namba ya simu
+255744753493
....
Au
...
KIGOMA PEOPLE'S COMMUNITY
P.O.BOX 734
KIGOMA, TANZANIA
Kigoma District, Kigoma Town Ward, Shede Street, Bangwe and Stanley Road, House No: 02
Email Address:
[email protected]
Phone Number
+255744753493