
Kigoma Region Tanzania
February 20, 2025 at 06:20 AM
*WANAKIGOMA WALIOWAHII KUALIKWA /KUHOJIWA NA KUONESHA NJIA KUNAKO MAENDELEO YA MKOA WETU KUPITIA KADA MBALIMBALI KUPITIA WAO TUMEONA MABADILIKO MAKUBWA MKOANI KWETU*
*TUNAOMBA KUWATAMBUA*
*1-Hussein Kalyango:* Diwani kata ya Kigoma Manispaa ya Kigoma Ujiji 2015-2020.
*2-Mr Kagoma:* Kiongozi wa Tembo FC Kibondo Kigoma.
*3-Husna Sungura:* Kiongozi wa soka la Wanawake mkoani Kigoma
*4-Ally Itembe* : Kiongozi wa soka mkoa wa Kigoma (General Coordinator wa TFF Kigoma)
*5-Lulu Cement:* Kiongozi wa kurasa za Mashujaa FC
*6-Chief LutaLosa Yemba:* Mgombea Urais Jamhuru ya Muungano wa Tanzania 2015 ADC
*7-Dk Zimbwe Kauke* pharmacist (Dodoma Hospital)
*8-Mh Hamisi Iddi mmasa* M/kiti Kijiji Cha Sunuka willaya ya UVINZA *Ccm*.
*9-Mh Omari Gindi* mwekiti wa Chadema Wilaya kigoma mjini.
*10-mwalim Banka the don* muonesha fursa Katavi.
*11-Kolo Hamza malilo ll* Sultan wa wamanyema
*12-Mbuya Ayoub kilima*. Makamu m/kiti chama Cha mpira wamiguu kigoma.
*13-Hasan Hamis msimbwa* mfanyabiashara/Muonesha fursa na mshirika wachama Cha wafanyabiasha wamipakani.*Cross Border Traders Association CBTA*
*14-Rashid Bakari Tanganyika* Meneja wa Taasisi ya *matwi Sports Academy*
*15-Paul Wabike* Fursa za kibiashara Nchi za Ulaya.
*16-Dr Mikota Karenga* (Masters Degree) Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki
*17-Ernest Boniface Makulilo EBM*. Udhamini wa Elimu ya Juu Ughaibuni.
*18-Jumbe Issa Jumbe* katibu wachama Cha mpira wamiguu Wilaya ya Kasulu.
*19-Said Msonga* Mchambuzi wa masuala ya kisiasa Ukanda wa Ulaya,Africa,Ulaya.
*20-Mwalim Abuu Mvano* Afisa Uhamiaji mstaafu_kigoma.
*21-Mh Shaabani Mambo* Mwanachama na Kiongozi wa ACT wazalendo_kigoma.
---------
*Tunawashukuru sana na tuendelee Kushirikiana kwa Ajili ya maendeleo ya mkoa wetu Wakigoma*
Wanakigoma mnakaribishwa ktk Mijadala mbalimbali ili kupanua fikra kwa Ajili ya maendeleo mkoani kwetu kigoma.