IslamicForum
IslamicForum
February 7, 2025 at 02:55 PM
USHINDI WA GHAZA. Ni wiki kadhaa baada ya kutangazwa kusitishwa kwa mapigano baina ya jeshi la Makafiri lililojikusanya katika ardhi ya Waislam waliloliita Israeli wakiongozwa na America dhidi ya wapiganaji wa Kiislamu wa ghaza. Ikiwa ni baada ya mwaka mmoja na miezi mitano. Ushindi hii tunaungalia katika maeneo haya yafuatayo. 1. Kijeshi katika uwanja wa vita. 2. Kiuchumi. 3. Kisiasi. 4. Kiitikadi. 5. Hatma ya kusitisha vita. 6. Mpango wa Trump kuhusu. Kabla ya kuelezea hayo maeneo hayo tunapaswa kuangalia sababu za mujahidina wa ghaza kuingia katika vita hii. Mapambano hayo yamekuja Baada ya mujahidina wa ghaza kuingia katika ardhi iliyokoloniwa kwa mabavu na kuitwa Israeli kwa malengo haya yafuatayo. A. Kuwatangalia mazayuni katika mpango wao, suala la ghaza kuvamiwa na kuvunjwa vunjwa na watu wake kuhamishwa lilikuwa jikoni linapikwa Baada ya taarifa za kiintelijensia za kuaminika kwa mujahidina juu ya huo mpango. Njia sahihi kabisa iliyoonekana na kuwakabili hao majambazi kabla ya wao kuwaanza...👇

Comments