IslamicForum
IslamicForum
February 8, 2025 at 12:53 PM
Vikosi vya Al-Qassam huko Gaza vinawaajiri makumi ya maelfu ya wapiganaji wapya mwezi Februari 2025, kwa ajili ya maandalizi ya kulinda ardhi na maeneo matakatifu na kuwalinda wananchi wa Palestina kutokana na uvamizi wa Wazayuni. Wapiganaji hao wanaapa kwamba watakabiliana na wavamizi magaidi wa Kizayuni kwa kila walichonacho, na wataendeleza njia ya muqawama hadi pale Palestina itakapokombolewa. #one1ummaharoundtheworld #khilafahisliberationfortheummah
❤️ 1

Comments