IslamicForum
February 12, 2025 at 08:33 AM
#kwanini_saud_imebadili_msimamo WAKE JUU YA #mwezi MWANDAMO?
Awali tulimesema mara kadhaa kwamba suala hili la ikhtilafu juu ya mwezi mwandamo kwa miaka ya hivi karibuni lina simamiwa na wanasiasa kuugawa umma wa kiislamu
Na wala halipo tena kifiq’hi kama hapo awali zama za kina Imamu Shafy na wenzake walio ikhtilafiana juu ya mwezi mwandamo
Mizozo ya leo juu ya mwezi ni maagizo tu ya watawala pasina kujali wala kuzingatia ikhtilafu za fiq’h
Wakoloni wamewapa maagizo vibaraka wao kwa kuzipangia nchi juu ya kufunga na kufungua kuhakikisha waislamu hawaungani juu ya nembo hii kubwa ya umoja wa umma wa kiislamu
Basi mwezi utatangazwa nchi fulani hata kama haukuandama na utakataliwa nchi ya pili hata kama ume andama
Na hili lipo wazi kiasi kwamba halihitaji hata kutoa ushahidi
Utakuta nchi hii inafunga lakini nchi jiran haifungi na hata raia walio mipakani mwa nchi iliyo funga hawa ambiwi basi wao wafunge kwani wapo jirani na nchi ambayo mwezi umea...👇