IslamicForum
IslamicForum
February 12, 2025 at 03:48 PM
BREAKING: Rais Trump kwa mara nyingine amesisitiza juu ya pendekezo lake la kuwahamisha Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza na kumshinikiza Mfalme Abdullah wa Jordan kuwapokea raia hao ambao watakuwa wameyakimbia makazi kabisa chini ya mpango wake wa kuimiliki na kuijenga upya Gaza.

Comments