IslamicForum
IslamicForum
February 18, 2025 at 07:07 AM
Muhsin Hendricks 57 ambae aliejulikana kama Imamu anae jihusisha na mapenzi ya jinsia moja, ameuawa kwa risasi nchini Afrika kusini. Magharibi wanajaribu kutengeneza kila aina ya Uovu na wakiwemo Maimamu feki, ambao wanahusishwa na Ushoga ili waichafue sura ya Uislamu!. #intheabsenceofanislamicstateislamispolluted

Comments