AJIRA FASTA FORUM
February 12, 2025 at 05:16 PM
*Nafasi ya kazi ya ualimu (Walimu wawili wa kike)*
*Kazi yake*
*Kuandaa kazi za watoto wenye umri kati ya miaka 3 hadi 5*
*Kufundisha watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 3 hadi 5.*
*Kushauriana na mkuu wa shule kuhusu maendeleo ya watoto na kutafuta mbinu za kukuza uwezo wa watoto katika kujifunza.*
*Sifa*
*Elimu ya Astashahada, Stashahada au shahada ya Elimu ya watoto wadogo*
*Uzoefu*
*Usiopungua miezi 6...japo asiye na uzoefu pia atafikiriwa kwa kuzingatia uwezo wake.*
*Tuma maombi kwa 0767446534*
*Shule ipo Kibada Kigamboni Dar es salaam*
*Mshahara ni ule unaouhitaji wewe ilimradi uwezo wako uwe unaendana na vigezo vya usaili*