AJIRA FASTA FORUM WhatsApp Channel

AJIRA FASTA FORUM

766 subscribers

About AJIRA FASTA FORUM

Pata nafasi za kazi mikoa yote na nje ya Tanzania. Omba nafasi hizo ukiwa NYUMBANI popote Tanzania.(kwa walio na vyeti na wasio na vyeti) View and Follow channel hii kuona utaratibu na kupata taarifa za ajira punde zikitoka. Pia Facebook, Instagram Twitter,Telegram na WhatsApp search AJIRA FASTA FORUM Piga 0658561462 kwa Maulizo yoyotee https://t.co/Mbe2eMTOlg

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
6/7/2025, 7:45:23 AM
Post image
Image
AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
6/7/2025, 6:57:00 AM

ATTENTION ATTENTION ATTENTION Tunahitaji walimu maeneo mbalimbali kama ifuatavyo. 1.makulu osterbay Dodoma.mjini (Walimu wa physics, chemistry and maths olevel) 2.Daresalaam kibamba karibu na shule.msingi.luguruni )walimu.wa physics, chemistry and maths) 3.Daresalam.kwa mkua maji chumvi (walimu wa HGL na PCM na biology) 4.kibugumo kigamboni (mwalimu wa mmoja wa mathematics,, science and Geography na wapili ni wa English language na historia ya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ) Mwisho wa matangazo haya ni jumatatu tarehe9.june 2025. Tuwasiliane kwa whatsapp sms tu :0748650405)

AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
6/8/2025, 5:27:02 AM

Anahitajika mtu anae jua kichina Mwenye uwezo mzuri Ambae anaweza kuwa mkalimani Payment: Satisfactory Location : Dar es salam DM 0763261068/065856462

AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
6/7/2025, 7:38:54 PM

Naomba nipostie Shule ya awali na msingi Baraton iliyopo Rorya mara Inatangaza nafasi ya mwalimu mmoja Ambaye ataweza kufundisha social studies and civic class 7 Hakikisha chuo umechukuwa masomo ya history na geography Na uwe na uzoefu wa kufundisha English medium masomo hayo angalau mwaka mmoja uwe karibu mwanza au sehemu jirani Ahsante call 0676078221 Sms sijibu

AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
6/6/2025, 7:20:23 PM

Siku ya mwisho ya kuripoti ni tarehe 21 Julai, 2025, na waliopangwa kwenye Vyuo vya Elimu ya Ufundi watapokea maelekezo ya namna ya kujiunga kutoka katika vyuo walivyopangiwa,” Mhe. MChengerwa amesisitiza. Akizungumzia ubora wa ufaulu kwa kuangalia madaraja, Mhe. Mchengerwa ameainisha kuwa, watahiniwa 223,372 (41.23%) walipata ufaulu wa Daraja la I – III, hali inayoonesha kuwa ufaulu wa watahiniwa wa mwaka 2024 umeongezeka kwa asilimia 5.36% ikilinganishwa na ufaulu wa Daraja la I – III wa watahiniwa 198,394 (35.87%) wa mwaka 2023. Aidha, Waziri Mchengerwa amewapongeza wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Elimu ya Ufundi na kuwahimiza kuendelea kufanya bidii katika kujifunza ili waweze kufanikiwa kujiunga na mafunzo ya Elimu ya Juu baada ya kuhitimu Kidato cha Sita na Vyuo vya Elimu ya Ufundi. Sanjari na hilo, Mhe. Mchengerwa amewapongeza walimu, wazazi na walezi wote kwa juhudi walizozifanya katika malezi na ufundishaji hali iliyowezesha wanafunzi kufaulu vizuri, na amewataka kuendelea kuwa na moyo wa kusimamia na kufuatilia maendeleo ya watoto shuleni. Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kujiunga na Kidato cha Tano katika Shule za Sekondari na Vyuo vya Elimu ya Ufundi vya Serikali umefanyika kwa kuzingatia utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 toleo la 2023 na Mtaala ulioboreshwa, hivyo wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka Shule za Serikali, zisizo za Serikali na watahiniwa wa kujitegemea waliofanya mtihani chini ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima.

AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
6/7/2025, 7:39:04 PM

*TANGAZO LA KAZI* Mkuu wa shule, shule ya Sekondari MTAPA iliyopo Halmashauri ya wilaya ya wanging'ombe anatangaza nafasi za kazi zifuatazo: 1. Mwalimu wa PHYSICS nafasi moja 2. Basic Mathematics nafasi moja Waombaji wawasilishe: 1. Barua ya maombi 2. Vyeti vyote vya Taaluma 3. CV Maombi yote yatumwe Kwa Mkuu wa shule Kwa barua pepe: [email protected] Muda wa kutuma ni kuanzia tarehe 05/06/2025 Hadi Tarehe 15/06/2025 Kwa maulizo Simu namba 0769409660/0678409660

AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
6/8/2025, 5:33:15 AM

Usichoke kuomba hata kama majibu hayajaja haraka. Usichoke kupanda hata kama mavuno hayajaonekana. Usichoke kutia bidii hata kama hakuna anayekuona. Usichoke kuonyesha uaminifu hata kama hakuna anayekupa nafasi.

❀️ 1
Video
AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
6/8/2025, 5:32:58 AM

WE ARE HIRING!! Position: ASSISTANT PLANING & LOGISTICS COORDINATOR Job Location: Dar es salaam Kindly apply by sending your CV to: [email protected] cc; [email protected] APPLICATION CLOSING DATE: 19th June 2025.

AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
6/7/2025, 6:54:06 AM

Greetings Harleys T Limited is looking for; 2 Medical Representatives(Dar) 2 Sales representative Dar-1 position Mwanza-1 position Qualifications *For Freshers* -Bachelor's degree-Science background ( Biology/Chemistry) -Strong communication skills with positive attitude -Self motivated to build a career on sales and marketing in pharmaceutical arena For experienced -Bachelor's degree-Science background ( Biology/Chemistry -Min 1 year experience working as medical representative with vivid success story -Strong verbal communication skills with Positive attitude Send your CVs to [email protected] Watsapp:0776 908 220 Deadline 13/06/2025

AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
6/6/2025, 7:13:49 PM

Nahitaji mtu wa kupika chapati asubuh Ofisi ipo tegeta- kibo Nahitaji watu waliopo maeneo ya barabara ya bagamoyo road Jinsia yoyote itaruhusiwa Mshahara maelewano Mawasiliano; 0684088455

Link copied to clipboard!