
AJIRA FASTA FORUM
February 13, 2025 at 05:15 PM
Nahitaji Mwalimu wa chekechea
Sifa
Awe na certificate au Diploma
Awe anajua kufundisha vizuri pamoja na kuzungumza kingereza vizuri kwa ufasaha
Awe anajua majukumu yake yote ili afanye kazi vizuri
Shule ipo mbezi mpiji Magohe Dsm
Mawasiliano piga simu namba 0717127979