AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
February 14, 2025 at 10:11 AM
Uongozi wa shule (Shule ya kanisa la EAGT) ya Sekondari iliyoko Kahama Wanahitaji Walimu wa kufundisha Hesabu/ Physics. Watangazieni Watumishi KMP. Wakipatikana. Walete application, CV, watume kwa Mkurugenzi wa MIMA [email protected] Simu 0786 032 007 au 0754 468 168. Deadline 1 Machi 2025 Tuta... Shortlist... Tutawasaili. Tutachagua. Appoint.

Comments