AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
February 18, 2025 at 04:15 PM
TANGAZO TANGAZO Shule ya msingi BARNEY SCHOOL iliyopo MSAKUZI- MBEZI inatangaza nafasi ya kazi. Kwa mwalimu mwenye sifa na uzoefu kufundisha masomo ya SST na CME darasa la saba , Interview itafanyika siku ya Jumatano tarehe 19/2/2025 saa tatu asubuhi. Mawasiliano:0766969721

Comments