AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
February 18, 2025 at 04:16 PM
*TANGAZO LA KAZI* - NEW 🆕 NURSERY _____Location Butiama Mara______ *URGENT* 👇 Anatafutwa Mwalimu mwenye sifa na uzoefu wa kufundisha Nursery English medium. AWE; 1. Amesomea ualimu na *awe na VYETI halisi* original......Wenye *Early Childhood Certificates* kupewa kipaumbele zaidi. (Siyo Lazima) 2. Awe mwenye uwezo na karama za kulea watoto,ubunifu wa zana, nyimbo na mcheshi. 3. Awe tayari kufanya kazi katika shule changa.....na kushiriki Kwa nguvu zote *kuiinua kitaaluma na kuikuza.* 4. Awe wa jinsia yoyote _ila wenye SIFA number 5&6 itapendeza zaidi._ 5. Ikiwezekana awe mwanamke ( _Siyo Lazima_ ) 6. Ikiwezekana awe mkazi wa maeneo au mkoa wa karibu (Siyo Lazima) N.B; _____ 1. Waombaji wote waandike *barua ya kuomba kazi* Kwa lugha ya kiingereza na kuituma kwenda Whatsapp number 👉 0769978950 Kwa ajili ya Usaili wa Awali. 2. Waombaji wote watume CV na waweke namba zao za simu zinazopatikana wakati wote. 3. Waombaji watume *nakala vivuli vya VYETI* (Photocopies) ACCOMODATIONS OFFERED; _Utapewa *makazi ya muda chumba kimoja* kizuri eneo la kazi._ (Kuishi kwa miezi 6 ya kwanza ) APPLICATION SUBMISSION & DEADLINE 🚧 🛑 Deadline ni *tarehe 20 February 2025* Tuma nakala zote kwenda Whatsapp number 0769978950 au 0765684661 .

Comments