AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
February 18, 2025 at 04:16 PM
*TANGAZO LA NAFASI YA KAZI* (*18/02/2025*) Uongozi wa shule ya msingi DESTINY unawatangazia nafasi ya kazi kwa mwalimu mwenye sifa zifuatazo: - Mwalimu wa Mathematics na Science *SIFA ZA JUMLA ZA MWOMBAJI* 1. Mwombaji awe na kiwango cha elimu kuanzia Diploma au Bachelor Degree. 2. Mwombaji awe Mtanzania. 3. Mwombaji awe na vyeti vya taaluma kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. 4. Mwombaji wa jinsi ya kiume atapewa kipaumbele. *JINSI YA KUTUMA MAOMBI* 1. Maombi yawasilishwe kwa, *MWALIMU MKUU SHULE MSINGI DESTINY ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL, S.L.P 457, TARIME.* kupitia barua pepe : [email protected] 2. Kwa waombaji waliokaribu, wanaweza kuwasilisha maombi yao shuleni kwenye ofisi ya mwalimu mkuu. 3. Katika barua ya Maombi, mwombaji anatakiwa kuambatisha *Nakala za vivuli vya vyeti vya taaluma pamaja na wasifu binafsi (CV)* Mwisho wa kutuma Maombi ni tarehe **21/02/2025*

Comments