AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
February 19, 2025 at 03:01 PM
🚨 🚨 🚨 🚨 🚨 🚨 Tunaitaji, mwalimu wa mathematics(1), Biology(1), na mwali atakaye weza kufundisha chemistry and physics (1) Mshaara ni 300k kwa mwezi kula atakula shule asubuhi na mchana pia Tutamsaidia kumchangia pesa ya accommodation. Shule ipo Ifakara mjini mkoa wa morogoro Kibaoni secondary. Tuma CV na vyeti. Deadline: Friday, February 21, 2025 WhatsApp no: 0627077637

Comments