
AJIRA FASTA FORUM
February 20, 2025 at 05:55 AM
Habari za muda huu
Grace pre and primary school inatangaza nafasi za kazi zifuatazo wanahitajika haraka iwezekanavyo:
Mwenye uzoefu kuanzia miaka miwili
1. Mwalimu wa mathematics na CME
2. Secretary mwenye uzoefu
Kwa mawasiliano zaidi 0760288479 karibuni sana