
AJIRA FASTA FORUM
February 27, 2025 at 05:33 AM
*TANGAZO LA AJIRA YA MUDA*
Uongozi wa shule ya sekondari KOMUGE iliyopo kijiji cha Komuge, kata ya Komuge,wilaya ya RORYA, unatangaza nafasi tatu (03) za ajira ya ualimu kwa masomo yafuatayo:
√ History na Geography...... nafasi 1
√ English Language..... nafasi 1
√ Mathematics........nafasi 1.
*SIFA ZA MWOMBAJI*
1.Awe mtanzania mwenye haiba ya ualimu.
2.Awe na Stashahada au Shahada kutoka katika chuo kinachotambulika na serikali.
3. Awe na utayari wa kufundisha somo(masomo) tajwa kwa ufanisi wa kiwango cha juu.
Maombi yote yaelekezwe ofisi ya mkuu wa shule.
Kwa mawasiliano zaidi,piga simu kwa namba zifuatazo;
0769 886 398 ....Mkuu wa shule
0762 692 436....Makamu mkuu wa shule.
0713 193 181....Mwandamizi Taaluma.