Kingstoretz
February 4, 2025 at 03:14 PM
Opera imezindua browser mpya ya Opera Air
Ni browser mpya ambayo ina vipengele vya kutunza afya ya akili.
Kuna “Take a Break” kwa mazoezi ya mwongozo na “Boosts” inayotumia teknolojia ya binaural beats kuboresha umakini.
Unaweza kuipata kupitia tovuti ya Opera.
Inaendelea.....
❤️
1