
Kingstoretz
57 subscribers
About Kingstoretz
๐ Welcome to KingStoreTZ Channel! ๐ Explore the ultimate hub for all your needs! ๐ป๐ฎ๐ผ ๐น *Tech Wonderland:* Dive into the latest Information Technology gadgets and accessories. From mega computers to sleek laptops, we've got it all! ๐ฑ๐ป ๐น *Gaming Paradise:* Immerse yourself in a state-of-the-art video gaming center. Experience thrilling games and tournaments with fellow gamers! ๐ฎ๐น๏ธ ๐น *Business Hub:* Elevate your productivity at our cutting-edge business center. Equipped with top-notch facilities for your professional endeavors. ๐ผ๐ NB: FOLLOW US ON ALL OUR SOCIAL MEDIAS TAP HERE ๐๐ฟ| https://linktr.ee/kingstoretz TAFSIRI YA KISWAHILI ๐ Karibu kwenye Chaneli ya KingStoreTz๐ Hii ni Chaneli na kituo chako cha mwisho kwa mahitaji yako yote! ๐ป๐ฎ๐ผ ๐น *Ulimwengu wa Teknolojia:* Utapata kufahamu na kujua zaidi kuhusu ulimwengu wa teknolojia kuanzia vifaa vyake vyote kuanzia kompyuta, simu, magemu na vingine vingi , habari mbalimbali kuhusu teknolojia na ukubwa wake, nini kinafanya vizuri saivi ulimwenguni upande wa teknolojia na mengine mengi. ๐ฑ๐ป ๐น *Ulimwengu wa Magemu na michezo yake yote :* Hapa utafurahia michezo ya kusisimua na mashindano na wachezaji wenzako games kama Mpira, magari na mengine mengi utayapata hapa! ๐ฎ๐น๏ธ ๐น *Kitovu cha Biashara:* Ongeza tija yako katika biashara yako hii ni pamoja na kufanya manunuzi yote ya vifaa vya teknolojia, hiyo yote nipamoja na kufanya biashara na sisi. ๐ผ๐ NB: TUFATILIE KWENYE MITANDAO YETU YOTE YA KIJAMII BONYEZA HAPA๐๐ฟ https://linktr.ee/kingstoretz
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

๐ WhatsApp imeanza majaribio ya kuruhusu mtumiaji kuwa na uwezo wa ku-share Status ya mtu mwingine. Ukiona status ya rafiki yako, utakuwa na uwezo wa kuipost (re-post) kwenye Status zako bila kulazimika kumuomba akutumie ili uweze kui-post au kuihifadhi.


๐ Watumiaji wa iPad sasa wanaweza kupata app ya WhatsApp Imechukua zaidi ya miaka 15 kwa WhatsApp kuweka app yake kwenye iPad


Pia watumiaji watakuwa na option ya kuamua watu wengine na marafiki zao kuwa na uwezo wa kupost Status zao.


๐ Browser mpya ya Opera Neon ina uwezo wa kufanya coding za kutengeneza Website (tovuti) na Games


Kila kitu unataka kujua kuhusu IOS 24 itakayotoka ndani ya masaa 24 ya jayo.


๐ Instagram imefanya maboresho katika sehemu ya (DM), ikiwa ni pamoja na kuweka uwezo wa kutafsiri ujumbe wa sauti kuwa maandishi (transcription). Pia, imeongeza muda wa ujumbe wa sauti kutoka dakika 1 hadi dakika 5.
