Kingstoretz
February 7, 2025 at 07:41 AM
Hatua 05: Ondoa acceess ya google account yako kutoka kwenye apps zote.
Namna ya kufanya ingia kwenye account ambazo huzitaki utakuta mahali pameandikwa "delete all connections you have with (jina la hiyo app). Bonyeza bonyeza alaf thibitisha/confirm.
👍
2