
Kingstoretz
February 16, 2025 at 12:01 AM
YouTube imeanza kuwa kama Instagram kwa mbali - inaanza kutumia mchanganyiko wa rangi nyingi kwa style ya Gradient.
Rangi kuu zitabaki kuwa ni Nyekundu na Magenta
❤️
1