
SAFARI CAPITAL TRADING
February 16, 2025 at 08:05 AM
AUDNZD ipo katika UPTREND.
Baada ya kuondoka kwenye hii Demand wiki 2 zilizo pita, tunaifuatilia kuona kama itarudi tena katika eneo hili Kwa ajili ya fursa nyingine ya ku-BUY!
Tunaiweka katika matazamio ya chati tunazozifuatilia kwa ukaribu wiki ijayo.