
SAFARI CAPITAL TRADING
574 subscribers
About SAFARI CAPITAL TRADING
Welcome! With more than 8+ years experience in forex trading market since 2016! This is our free public telegram chanel. We provide premium on the following: 1. Signals. 2. Mentorship. 3. Training. 4. Copy trading. Contact our admin
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Unapoingia katika ulimwengu wa biashara ya Forex, unaweza kuhisi kama unalazimika kujifunza lugha mpya kabisa ili kuelewa kinachoendelea. Kama ilivyo kwa maeneo mengine maalum, biashara ya Forex ina maneno yake maalum na misamiati ya kipekee. Hapa kuna mwongozo wa haraka (cheat sheet) wa maneno ya kawaida utakayokutana nayo kwenye jukwaa lako la biashara (trading platform) kwenye kipengele cha Margin. Maneno hayo ni kama: - Margin - Leverage - Unrealized P/L - Balance - Margin Requirements. - Required Margin - Equity - Free Margin & Used Margin - Margin Level & Margin Call Level - Stop Out Level & Stop Out - Margin Call Katibu utazame maana za maneno haya hapa 👇🏽

https://mega.nz/folder/mthGkTjK#MTGwvhe14vO8_-qdnIeK_g

https://mega.nz/file/ql5hTKaT#1vyKnC7z-fUlBEtFcQrd0YQtBfdiTzVBYWmHxeW_cPE

https://mega.nz/file/Pl51BbLC#MPfK29z6VjlR-BiIShi62SoAElTvMNJxg8XGM8Hj43g

https://mega.nz/file/GsIS2TTZ#z9oPt0mt2RydLG0GKuSh_u8QjCqwdRcY1ATXt0FZwyA

EDUCATIONAL WEDNESDAY! KUPITIA PLATFORM ZETU ZA WHATSAPP CHANEL AND COMMUNITY, KILA JUMATANO TUNAKUA NA EDUCATION CONTENT. JUMATANO YA LEO KARIBU KUTAZAMA SOMO HILI AMBALO TUMEANDAA KUTOKA KWENYE COURSE YETU. HAPA UTAJIFUNZA MAMBO YAFUATAYO: 1. JE, UNAWEZA KUPATA UTAJIRI KUPITIA BIASHARA YA FOREX? 2. VIPINDI VYA BIASHARA YA FOREX. 3. INTERNATIONAL DATE LINE (IDL) 4. DAYLIGHT SAVING TIME (DST) 5. FOREX SESSION OVERLAPS 6. LONDON FIX NA UMUHIMU WAKE KATIKA BIASHARA YA FOREX NA BIASHARA NYINGINE DUNIANI. KARIBUNI KUTAZAMA SOMO HILI HAPA 👇🏽