
SAFARI CAPITAL TRADING
February 16, 2025 at 08:08 AM
NZDCAD ipo katika downtrend.
Bei imefikia eneo lenye H4 ENGULFING SUPPLY, pindi bei ilivyotoka eneo hili mara ya mwisho. Baada ya rally ya takribani masaa 16, tunaona buyers wamedhoofu nguvu yao katika masaa manne ya mwisho kabla ya soko kufungwa. Hii inatupa ishara kuwa huenda eneo hili likawa na potential ya SELLS kuingia.
Tunaiweka katika matazamio ya chati tunazozifuatilia kwa ukaribu wiki ijayo.