Mwanzo TV
Mwanzo TV
February 25, 2025 at 07:29 AM
#congo: *DRC YAZIDI KUZAMA! WANAJESHI WAKE KADHAA WAJISALIMISHA KWA M23* Wakati waasi wa M23 wanaoungwa mkono na jeshi la Rwanda lilipochukua udhibiti wa mji mkuu wa Bukavu katika mkoa wa Kivu Kusini wiki iliyopita, maelfu kadhaa ya polisi, wanajeshi na wapiganaji wengine wenye silaha waliokuwa wakishirikiana na FARDC walijisalimisha kwa kundi hilo lenye silaha. ZAIDI: https://youtu.be/4TJrA1tfV8E

Comments