
Mwanzo TV
478 subscribers
About Mwanzo TV
The official channel of East Africa's Premier News Source with Top Stories, Special Features and more
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

BALAA! JOHN HECHE NA MAMA YAKE WAIBUKIA KANISANI, ATEMA CHECHE SAKATA LA UTEKAJI, ATOA SADAKA 2M: https://youtu.be/8DlgvLmZ0y8

"I have been involved in politics for some time now. I cannot be threatened by anybody," President William Ruto


#UK: *TENS OF THOUSANDS OF PRO-PALESTINIAN PROTESTERS MARCH IN LONDON* Tens of thousands of pro-Palestinian protesters marched in London on Saturday calling for an end to the war in Gaza, amid concerns that the Iran-Israel conflict could spark wider regional devastation. Protesters waved Palestinian flags, donned keffiyeh scarves and carried signs including "Stop arming Israel" and "No war on Iran" as they marched in the sweltering heat in central London. "It's important to remember that people are suffering in Gaza. I fear all the focus will be on Iran now," said 34-year-old Harry Baker, attending his third pro-Palestinian protest.


#TANZANIA: *WASIRA: WAKOLONI WALITUACHIA NCHI HAKUNA HATA DAKTARI MMOJA* “Wametuachia(Wakoloni)nchi hakuna daktari hata mmoja walikuwepo madaktari kutoka India na Pakistani nao walikuwa Dar es Salaam. Wakati tunapata uhuru akina mama walikuwa hawajifungui ila wanazaa maana hakukua na kliniki, hivyo walikuwa wanazaa kama ng’ombe anavyozaa ndama”- Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira


#TANZANIA: *AU YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI TANZANIA* Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kuahidi kuwa uchaguzi huo utafanyika kwa haki, uhuru na amani. Misheni hiyo ya tathmini kabla ya uchaguzi (Pre-election Assessment Mission – PAM), iliyoongozwa na Dk. Phumzile Mlambo-Ngcuka, Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, iliwakilishwa na wajumbe 16, na ilifanya mazungumzo na Waziri Mkuu jana Juni 17, 2025 katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam


#US: *TYLER PERRY SUED FOR SEXUAL ASSAULT AND HARASSMENT BY 'THE OVAL' ACTOR* Tyler Perry is facing a $260 million lawsuit filed by actor Derek Dixon, who appeared in Perry’s BET series The Oval. Dixon alleges that Perry engaged in sexual harassment, assault, and workplace retaliation, claiming that Perry used his influence in the entertainment industry to create a coercive and sexually exploitative dynamic. According to the lawsuit, Dixon first met Perry in 2019 at an industry event, where Perry allegedly offered him acting opportunities and later sent him sexually suggestive messages. The lawsuit details multiple alleged incidents, including claims that Perry groped Dixon, made inappropriate advances, and pressured him into unwanted interactions. Dixon also asserts that Perry threatened his character’s fate on The Oval, implying that his role would be eliminated if he did not comply. Perry’s legal team has strongly denied the allegations, calling them fabricated and labeling the lawsuit a “scam”


#GENEVA: *POSSI: SERIKALI YA TANZANIA INACHUKULIA KWA UZITO MATUKIO YA UTEKAJI* Seikali ya Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kulinda na kuendeleza haki za binadamu, utawala bora na utawala wa sheria kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2025. Kauli hiyo imetolewa na Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Dkt. Abdallah S. Possi, wakati wa majadiliano ya wazi kuhusu taarifa ya mwaka ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa. Akizungumza kwa niaba ya Tanzania, Dkt. Possi alieleza kuwa serikali imejizatiti kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, uwazi, na kwa kuzingatia viwango vya kitaifa, kikanda na kimataifa vya haki za binadamu. “Tanzania inaendelea kulinda uhuru wa kujieleza, haki ya kupata taarifa, na ushiriki wa vyombo vya habari. Tunaamini katika usawa mbele ya sheria kwa watu wote, wakiwemo watetezi wa haki za binadamu,” alisema Dkt. Possi.


#KENYA: *BRITISH HIGH COMMISSION CALLS FOR INDEPENDENT PROBE INTO POLICE BRUTALITY* The British High Commission in Kenya has condemned the excessive use of force by police during the ongoing protests and is calling for a swift, independent, and transparent investigation into police brutality. In a statement released today, the Commission expressed deep concern over the violence against unarmed civilians and protesters, particularly in Nairobi, Mombasa, Kilifi, and Kwale counties. The Commission emphasized that police forces must command the trust and confidence of those they are duty-bound to serve and protect. It also sent best wishes for the swift recovery of those injured during the demonstrations. The Independent Policing Oversight Authority (IPOA) has launched an investigation into the shooting of Boniface Kariuki, the vendor who was shot at close range by anti-riot police officers in Nairobi CBD.


#IRAN: *KHAMENEI VOWS IRAN WILL 'NEVER SURRENDER', WARNS OFF US* Iran's supreme leader Ayatollah Ali Khamenei said Wednesday the nation would never surrender as demanded by President Donald Trump and warned the United States it would face "irreparable damage" if it intervenes. "This nation will never surrender to imposition from anyone," Khamenei said in a speech read on state television. "America should know that any military intervention will undoubtedly result in irreparable damage."


*BALOZI DKT POSSI: KUWA MTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU HAKUMFANYI MTU KUWA JUU YA SHERIA* “Kuwa mtetezi wa haki za binadamu hakumfanyi mtu kuwa juu ya sheria za nchi nyingine. Heshima kwa sheria ni msingi wa ushirikiano wa kimataifa,”-Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Dkt. Abdallah S. Possi, akizungumza wakati wa majadiliano ya wazi kuhusu taarifa ya mwaka ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa.
