Mwanzo TV
Mwanzo TV
February 25, 2025 at 11:14 AM
#tanzania: *MIKAKATI NZITO YA ACT WAZALENDO!* Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wameendeleza zoezi la kuhamasisha watu hususan vijana kujiandikisha kama wapiga kura kwa wingi. Zoezi la jana lilifanyika wilaya ya Kaskazini Unguja, Zazibar. ZAIDI: https://youtu.be/Ercy8ZUrflM

Comments