
Mwanzo TV
February 25, 2025 at 12:53 PM
#kenya: *NDOA YA RUTO-RAILA YAENDELEA! RUTO ATETEA USHIRIKIANO BAINA WAO*
Rais William Ruto ametetea uhusiano wake na Kiongozi wa upinzani Raila Odinga Pamoja na viongozi wengine wa Upinzani. Ruto amesema lego lake ni kuhakikisha Kenya inakuwa kitu kimoja.
ZAIDI: https://youtu.be/Unyxyzk18Rw