Mwanzo TV
Mwanzo TV
February 25, 2025 at 03:22 PM
#tanzania: *KIMEWAKA! CCM MBIONI KUWAHIMIZA VIJANA KUWANIA UONGOZI* Chama cha mapinduzi mkoani Mwanza kimewataka vijana wenye sifa za kugombea kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi Mkuu ujao badala ya kusubiri kuwa wasaidizi na wapiga kampeni wa watia nia. ZAIDI: https://youtu.be/nfmhsO5L7_w

Comments