Mwanzo TV
Mwanzo TV
February 28, 2025 at 11:26 AM
#tanzania: *TOA NDUGU TONE TONE ULILONALO, MATONE MENGI HUSABABISHA MVUA - LISSU* Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amewasihi Watanzania wote kukiunga mkono chama hicho kwa kukichangia kupitia kwa kampeni ya Tone Tone yaani kuchanga kidogo kidogo. Lissu ameyasema hayo usiku wa jana Februari 27, 2025 akizinduwa kampeni ya Tone Tone ambayo amesema itasaidia chama hicho kupata fedha za kukiwezesha kutekeleza majukumu yake na kuwafikia Watanzania wengi. Zaidi: https://youtu.be/tTSSUDICeA0

Comments