Mwanzo TV
Mwanzo TV
February 28, 2025 at 11:56 AM
#tanzania: *MCHUANO MZITO WA LIGI KUU BARA* Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, makocha wa timu za pamba Jiji FC na Yanga African wametambiana kila mmoja akijinasibu kubuka na ushindi kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa kwenye dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza Ijumaa hii majira ya saa 10 za jioni. ZAIDI: https://youtu.be/JsPcySZrYAM

Comments