Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
January 31, 2025 at 12:02 PM
Inaitwa Graphic card katika desktop kazi yake kubwa ni kucontrol mwanga, picha, video na graphic katika pc na ndio husaidia kupeleka signal za picha katika monitor. kifaa hiki pindi kinapokufa katika desktop yako basi ukiwasha pc yako itawaka kama kawaida ila kwenye desktop display utaona giza tu haitaonesha kitu chochote basi jua graphics card yako imeshakufa ni kubadilisha mpya...