Jifunze Computer Na Simu ( I.T ) WhatsApp Channel

Jifunze Computer Na Simu ( I.T )

249 subscribers

About Jifunze Computer Na Simu ( I.T )

Bmtech ni channel inayokupa mafunzo na suluhisho la matatizo ya computer na simu yako pamoja na kukuuzia computer laptop na desktop kwa bei poa pamoja na software zote utakazo kwa bei poa.

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
1/31/2025, 12:14:10 PM

Unajua kwanini simu yako inakumalizia sana Data au MB je unajua ni nini kinachosababisha pindi ukiunga MB zako unajikuta ndani ya muda mfupi zimeisha. Hizi ndio sababu za simu yako kula mb kwa kasi kubwa 1.kuweka automatic update on ktk playstore hapo ni kwamba kila unapokuwa onlime basi background app zinaanza kujiupdate au kutafta update na kutumia MB zako 2.Kuturn on au kuruhusu notification za kila app kuwa on hapa ni kwamba app zinaanza kutafta taarifa zake na update kila unapowasha data na hii hupelekea simu kuwa nzito 3.Kuruhusu automatic diwnload katika mitandao kama whatsapp pindi ulipata picha au music au video inaanza kudownload bila wewe kuruhusu ni bora ukaseti izime 0754233541 whatsapp kwa ishu yoyote

Image
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
1/31/2025, 12:12:11 PM

Mambo yakuzingatia kabla hujanunua computer/laptop hata simu: 1.Matumizi unayotaka kutumia 2.Uchunguzi kidogo kuhusu brand/aina unayotaka 3.Ukubwa wa vifaa ambavyo havibadilishiki kama Graphic ktk laptop 4.Ukubwa wa RAM,PROCESSOR NA graphic card 5.Angalia Screen resolution zake 6.Angalia design ya nje Hasa katika matundu ya hewa Hizo ni baadhi ya vitu vichache sana kuangalia vingine vitakuja katika post zijazo....

Image
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
1/31/2025, 12:16:21 PM

Njia za kutatua tatizo la pc yako kama inapiga sana kelele unapoiwasha au inapotumika na wakati mwingine kupelekea kujizima na kuwaka fanya hivi 1.fungua kisha safisha feni zote vizuri 2.ongeza thermo paste katika processor 3.Install antivirus kisha scan pc yako 4.install malware byte kisha scan pc yako 5.Toa program yoyote ulioiweka muda wa karibuni 6.fanya system restore katika pc yako Kama unahitaji mafunzo ya pc maintenance whatsapp 0754233541

👍 1
Image
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
1/31/2025, 12:14:57 PM

Yafahamu mambo 10 yanayoharibu na kuzichosha mapema hard disk drive HDD Na External Hard disk Drive Yako Ambao huifanya isiweze kudumu kwa muda mrefu katika Pc yako ... Mambo 10 yanayoharibu uwezo na ufanyaji kazi wa computer/pc/laptop 1.Mfumo mbovu wa upoozaji wa computer/pc/laptop 2.Virus wanaoshambulia computer/laptop/pc zetu 3.Kuweka windows au operating system mara kwa mara 4.Uzimaji mbaya wa pc au laptop/computer 5.Uharibifu wa hard disk kwa kuidondosha 6.Umeme mbovu unaoingia katika mfumo wa computer 7.Kuzima computer/pc/laptop mara kwa mara bila sababu 8.Ushikaji mbaya wa kifaa hasa maeneo yenye sakiti 9.Kujaa kwa hard disk partition 10.Njia isiyosahihi yakuchomoa hard disk katika computer.

👍 1
Image
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
1/31/2025, 12:10:11 PM

Hizi ndo shortcut key mbalimbali za kufungua vitu mbalimbali katika computer yako jifunze hapa Laptops & Computers Shortkeys👨‍💻👨‍💻👨‍💻 Ctrl+A - Select All Ctrl+B - Bold Ctrl+C - Copy Ctrl+D - Fill Down Ctrl+F - Find Ctrl+G - Goto Ctrl+H - Replace Ctrl+I - Italic Ctrl+K - Insert Hyperlink Ctrl+N - New Workbook Ctrl+O - Open Ctrl+P - Print Ctrl+R - Fill Right Ctrl+S - Save Ctrl+U - Underline Ctrl+V - Paste Ctrl W - Close Ctrl+X - Cut Ctrl+Y - Repeat Ctrl+Z - Undo F1 - Help F2 - Edit F3 - Paste Name F4 - Repeat last action F4 - While typing a formula, switch between absolute/relative refs F5 - Goto F6 - Next Pane F7 - Spell check F8 - Extend mode F9 - Recalculate all workbooks F10 - Activate Menu bar F11 - New Chart F12 - Save As Ctrl+: - Insert Current Time Ctrl+; - Insert Current Date Ctrl+" - Copy Value from Cell Above Ctrl+’ - Copy Formula from Cell Above Shift - Hold down shift for additional functions in Excel’s menu Shift+F1 - What’s This? Shift+F2 - Edit cell comment Shift+F3 - Paste function into formula Shift+F4 - Find Next Shift+F5 - Find Shift+F6 - Previous Pane Shift+F8 - Add to selection Shift+F9 - Calculate active worksheet Shift+F10 - Display shortcut menu Shift+F11 - New worksheet Ctrl+F3 - Define name Ctrl+F4 - Close Ctrl+F5 - XL, Restore window size Ctrl+F6 - Next workbook window Shift+Ctrl+F6 - Previous workbook window Ctrl+F7 - Move window Ctrl+F8 - Resize window Ctrl+F9 - Minimize workbook Ctrl+F10 - Maximize or restore window Ctrl+F11 - Inset 4.0 Macro sheet Ctrl+F1 - File Open Alt+F1 - Insert Chart Alt+F2 - Save As Alt+F4 - Exit Alt+Down arrow - Display AutoComplete list Alt+’ - Format Style dialog box Ctrl+Shift+~ - General format Ctrl+Shift+! - Comma format Ctrl+Shift+@ - Time format Ctrl+Shift+# - Date format Ctrl+Shift+$ - Currency format Ctrl+Shift+% - Percent format Ctrl+Shift+^ - Exponential format Ctrl+Shift+& - Place outline border around selected cells Ctrl+Shift+_ - Remove outline border Ctrl+Shift+* - Select current region Ctrl++ - Insert Ctrl+- - Delete Ctrl+1 - Format cells dialog box Ctrl+2 - Bold Ctrl+3 - Italic Ctrl+4 - Underline Ctrl+5 - Strikethrough Ctrl+6 - Show/Hide objects Ctrl+7 - Show/Hide Standard toolbar Ctrl+8 - Toggle Outline symbols Ctrl+9 - Hide rows Ctrl+0 - Hide columns Ctrl+Shift+( - Unhide rows Ctrl+Shift+) - Unhide columns Alt or F10 - Activate the menu Ctrl+Tab - In toolbar: next toolbar Shift+Ctrl+Tab - In toolbar: previous toolbar Ctrl+Tab - In a workbook: activate next workbook Shift+Ctrl+Tab - In a workbook: activate previous workbook Tab - Next tool Shift+Tab - Previous tool Enter - Do the command Shift+Ctrl+F - Font Drop down List Shift+Ctrl+F+F - Font tab of Format Cell Dialog box Shift+Ctrl+P - Point size Drop down List Ctrl + E - Align center Ctrl + J - justify Ctrl + L - align Ctrl + R - align right Alt + Tab - switch applications Windows + P - Project screen Windows + E - open file explorer Windows + D - go to desktop Windows + M - minimize all windows Windows + S - search

Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
1/31/2025, 12:14:58 PM
👍 1
Image
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
2/22/2025, 9:27:46 AM

Wave bundle complete kwa ajiri ya cubase 5 ipo tena ni full activated whatsapp 0754233541 Utapata setup + plugins ikiwemo wavebundle full Autotune Fabfilters na zingine

❤️ 1
Image
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
1/31/2025, 12:18:50 PM

Laptop kupiga kelele sana wakati unaitumia na kichemka sana husababishwa na uchafu katika feni kama picha inavoonesha,hakikisha tu laptop feni ni safi na processor ina thermo compound Mafunzo ya maintenamce yaani ufundi wa computer whatsapp 0754233541

👍 1
Image
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
1/31/2025, 12:11:08 PM

Ni kifaa kidogo ila kazi zake kubwa sana inaitwa cmos battery kazi yake kubwa ni kuifanya cmos chip kufanya kazi na kutunza Kumbukumbu pindi pc inapozima. Cmos chip hutunza na kusave hardware configurations zako ulizoseti katika bios yani bios configurations pia husave vitu kama tarehe ambavyo hata pc ukizima na kuwasha tarehe haibadiliki ikumbukwe tu madhara yake inapoisha au kutofanya kazi ni kusahau device boot order. Kuhitaji ufanye configuration mara kwa mara 😑 na sometimes kukuretea errors zisizo za lazima so tujitahidi kuzikeep working na zikiisha tu zibadilishe mapema

Image
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
1/31/2025, 12:09:41 PM

Hizi ndo shortcut key mbalimbali za kufungua vitu mbalimbali katika computer yako jifunze hapa Laptops & Computers Shortkeys👨‍💻👨‍💻👨‍💻 Ctrl+A - Select All Ctrl+B - Bold Ctrl+C - Copy Ctrl+D - Fill Down Ctrl+F - Find Ctrl+G - Goto Ctrl+H - Replace Ctrl+I - Italic Ctrl+K - Insert Hyperlink Ctrl+N - New Workbook Ctrl+O - Open Ctrl+P - Print Ctrl+R - Fill Right Ctrl+S - Save Ctrl+U - Underline Ctrl+V - Paste Ctrl W - Close Ctrl+X - Cut Ctrl+Y - Repeat Ctrl+Z - Undo F1 - Help F2 - Edit F3 - Paste Name F4 - Repeat last action F4 - While typing a formula, switch between absolute/relative refs F5 - Goto F6 - Next Pane F7 - Spell check F8 - Extend mode F9 - Recalculate all workbooks F10 - Activate Menu bar F11 - New Chart F12 - Save As Ctrl+: - Insert Current Time Ctrl+; - Insert Current Date Ctrl+" - Copy Value from Cell Above Ctrl+’ - Copy Formula from Cell Above Shift - Hold down shift for additional functions in Excel’s menu Shift+F1 - What’s This? Shift+F2 - Edit cell comment Shift+F3 - Paste function into formula Shi

Image
Link copied to clipboard!