Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
January 31, 2025 at 12:04 PM
Guys kuna watu wanalalamika memory zao mara zinasense zipo ila hazionekani mara flash Zina corrupt hazionekani yaan wenge wenge tu sasa kuna hii program. Hdd low lever format huwa inafix matatizo ya flash memory na hard disk zenye mawenge wenge mfano zinazocorruption mbr au flash zinazojidelete partition zake vimemory kama kawa ila ikumbukwe tu haifix kitu kinaitwa write protected ila matatizo mengine inafix ni 🔥 🔥 https://mega.nz/#!11YASIbI!h_t8gj8k_L_1MNWeT7V76HNkMqH__exnfGgY8s0tE38