Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
January 31, 2025 at 12:06 PM
Kioo cha laptop hakipunguzi wala kuongeza mwanga 👉 Update graphic driver yako 👉 Hakikisha pc yako umeinstall grahic driver 💥💥Lakini kama utashindwa kutatua mwenyewe tunatoa huduma za matengenezo na kurekebisha pc yako kwa tatizo lolote sehem yoyote ile tucheki whatsapp 0754233541

Comments