Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
January 31, 2025 at 12:08 PM
Hizi ndio dalili za flash drive feki
👉 Huingiza vitu vichache ukikinganisha na ukubwa wake
👉 Inakuwa na spidi ndogo sana unapotuma mafaili nyimbo au video
👉 Mara nyingi hujitoa kusoma pindi inapowekwa ktk pc au tv kujiterminate
👉 Bei zake huwa ni ndogo saaana ukilinganisha na ukubwa
👉 Mara nyingi huuzwa mtaani hutembezwa na watu kwa stail isio official zaidi
👉 Hazina uwezo wa kutengeneza bootable ya aina yoyote hata ukitengeneza basi haiwezi kuboot
Je unahitaji flash original waweza wasliana namm 0754233541