
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
January 31, 2025 at 12:11 PM
Ni kifaa kidogo ila kazi zake kubwa sana inaitwa cmos battery kazi yake kubwa ni kuifanya cmos chip kufanya kazi na kutunza Kumbukumbu pindi pc inapozima. Cmos chip hutunza na kusave hardware configurations zako ulizoseti katika bios yani bios configurations pia husave vitu kama tarehe ambavyo hata pc ukizima na kuwasha tarehe haibadiliki ikumbukwe tu madhara yake inapoisha au kutofanya kazi ni kusahau device boot order. Kuhitaji ufanye configuration mara kwa mara 😑 na sometimes kukuretea errors zisizo za lazima so tujitahidi kuzikeep working na zikiisha tu zibadilishe mapema