
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
January 31, 2025 at 12:12 PM
Mambo yakuzingatia kabla hujanunua computer/laptop hata simu:
1.Matumizi unayotaka kutumia
2.Uchunguzi kidogo kuhusu brand/aina unayotaka
3.Ukubwa wa vifaa ambavyo havibadilishiki kama Graphic ktk laptop
4.Ukubwa wa RAM,PROCESSOR NA graphic card
5.Angalia Screen resolution zake
6.Angalia design ya nje Hasa katika matundu ya hewa
Hizo ni baadhi ya vitu vichache sana kuangalia vingine vitakuja katika post zijazo....