
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
January 31, 2025 at 12:14 PM
Unajua kwanini simu yako inakumalizia sana Data au MB je unajua ni nini kinachosababisha pindi ukiunga MB zako unajikuta ndani ya muda mfupi zimeisha. Hizi ndio sababu za simu yako kula mb kwa kasi kubwa
1.kuweka automatic update on ktk playstore hapo ni kwamba kila unapokuwa onlime basi background app zinaanza kujiupdate au kutafta update na kutumia MB zako
2.Kuturn on au kuruhusu notification za kila app kuwa on hapa ni kwamba app zinaanza kutafta taarifa zake na update kila unapowasha data na hii hupelekea simu kuwa nzito
3.Kuruhusu automatic diwnload katika mitandao kama whatsapp pindi ulipata picha au music au video inaanza kudownload bila wewe kuruhusu ni bora ukaseti izime
0754233541 whatsapp kwa ishu yoyote