
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
January 31, 2025 at 12:14 PM
Yafahamu mambo 10 yanayoharibu na kuzichosha mapema hard disk drive HDD Na External Hard disk Drive Yako Ambao huifanya isiweze kudumu kwa muda mrefu katika Pc yako ...
Mambo 10 yanayoharibu uwezo na ufanyaji kazi wa computer/pc/laptop
1.Mfumo mbovu wa upoozaji wa computer/pc/laptop
2.Virus wanaoshambulia computer/laptop/pc zetu
3.Kuweka windows au operating system mara kwa mara
4.Uzimaji mbaya wa pc au laptop/computer
5.Uharibifu wa hard disk kwa kuidondosha
6.Umeme mbovu unaoingia katika mfumo wa computer
7.Kuzima computer/pc/laptop mara kwa mara bila sababu
8.Ushikaji mbaya wa kifaa hasa maeneo yenye sakiti
9.Kujaa kwa hard disk partition
10.Njia isiyosahihi yakuchomoa hard disk katika computer.
👍
1