Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
January 31, 2025 at 12:16 PM
Njia za kutatua tatizo la pc yako kama inapiga sana kelele unapoiwasha au inapotumika na wakati mwingine kupelekea kujizima na kuwaka fanya hivi 1.fungua kisha safisha feni zote vizuri 2.ongeza thermo paste katika processor 3.Install antivirus kisha scan pc yako 4.install malware byte kisha scan pc yako 5.Toa program yoyote ulioiweka muda wa karibuni 6.fanya system restore katika pc yako Kama unahitaji mafunzo ya pc maintenance whatsapp 0754233541
👍 1

Comments