Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
February 24, 2025 at 05:52 AM
.Kwanini camera ya simu yako inapoteza ubora baada ya muda fulani
👉 kutoupdate simu yako
👉 Aina ya simu yenyewe
👉 Kutoitumia mara kwa mara
👉uchafu katika lens
👉hardware validation
👉Simu kuchemka sana
👉Setting zisizo sahihi