
Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
February 24, 2025 at 06:28 AM
Hilo hapo temp hili ni file linalobeba mafaili na programs command zinazotumika katika ram kwa mida flani sasa hizo file baada ya muda huwa hazina kazi tena chakufanya fungua hilo file kisha futa kila kitu kilichopo ndani 👇👇