Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
February 25, 2025 at 07:28 AM
Haya ndio matatizo yanayosababishwa na Uchafu mwingi katika laptop/desktop yako
1.Feni kupiga kelele sana na kuzunga kwa spidi kubwa muda wote
2.Computer yako kuwa nzito kupita kiasi
3.Computer yako kuwa na joto kali sana inapofanya kazi
4.Computer kujizima zima kila baada ya dakika chache
5.Kuleta bluescreen of death yaan maandishi ya blue kisha inajizima
6.Computer yako inaweza kuanza kuua baadhi ya vitu kama RAM
NB:Safisha computer yako kwa upepo mkali kila mwisho wa mwezi au mara 2 kwa mwezi ni jambo jema sana.Matatizo mengi ya computer yanasababishwa na uchafu tu.Ahsante na karibu kwa maoni.
Whatsapp 0754233541